KISWAHILI TEACHING METHODS ED 204

Report
KISWAHILI TEACHING METHODS
ED 204
UPIMAJI NA TATHMINI KATIKA
KUFUNDISHA LUGHA
Nini upimaji?
• Ni njia ya kukusanya taarifa kuhusu maendeleo ya wanafunzi kwa
kutumia kanuni mbali mbali.
• Unatakiwa ufanye kila siku katika ufundishaji katika hali ya kirafiki.
• Uoneshe kile ambacho mwanafunzi anakijua katika lugha na kile
anachoweza kukifanya.
• Umpe nafasi mwanafunzi ya kuonesha nini anajua (maarifa) na nini
anaweza kufanya (stadi).
• Ni kumpima mwanafunzi uelewa wake katika lugha na kile
anachoweza kukifanya.
• ni kutoa uamuzi kuhusiana na taarifa zilizokusanywa.
Upimaji unafanywa katika hali tatu:
KABLA,WAKATI NA BAADA YA KUSOMESHA
Kabla.Hii hufanyika kama ni utangulizi wa
somo.
• Kugundua mahitaji na hamu ya wanafunzi na
uwezo/taaluma waliyonayo.
• Kujua nini wanafunzi tayari wanafahamu na
wanaweza kufanya.
• Kuchagua mbinu muafaka ya kufundishia.
inaend.
Wakati: Hii hufanyika wakati mwalimu anaendelea
kusomesha, ni sehemu ya vitendo katika usomeshaji.
• Kupima ufahamu wa wanafunzi na maendeleo yao.
• Kuanisha/kutambua mafanikio,ugumu na kiwango cha
kujiamini.
• Kutathmini uwezo wa wanafunzi katika kujitambua
uwezo wao, ufahamu wao na miono yao.
• Kutathmini uwezo wa wanafunzi katika kufanya kazi
pamoja na kubadilishana mawazo.
Inaend.
• Baada: Hii hufanyika baada ya kusomesha,
darasani ,ni kuwapima ikiwa wamepata
maarifa na/au stadi walizojifunza.
• Kutathmini walichojifunza wanafunzi
• Kutathmini kiwango (quality) ya kujifunza.
• Kupima mafanikio ya vitendo na mbinu
zilizotumika kwa kuhusisha na malengo ya
kujifunza.
• Kupata tathmini ya zoezi zima la ufundishaji.
SIFA (MISINGI) ZA TATHMINI /UPIMAJI
• Isiwe na utata
• Iwe inafanyika (practical):haina gharama zilizopindukia, inachukua
muda maalum,inawezekana kuisimamia (isiwe inahitaji
wasimamiaji wengi,au haisahihishiki), iwe inatoa tathmini mahsusi.
• Kuaminika : (Reliability) iwe inatoa majibu yale yale aina moja
yaliyosawa kwa mwanafunzi huyo huyo,msahihishaji hata akiwa
tofauti,usimamiaji uwe unasaidia wanafunzi kutoa majibu sahihi
(ikiwa kuna mambo ambayo yataathiri majibu ya mwanafunzi
wakati wa jaribio/mtihani, upimaji huo utakuwa haukuaminika (not
reliable) - mf kuumwa, usimamiaji usiokubalika, upendeleo katika
kusahihisha, nk)
Inaend.
• Uthabiti : (Validty) iwe inapima kile
kilichokusudiwa kupimwa katika madhumuni
ya upimaji. Mfano, iwe inajitosheleza
kimaudhui (content), imeundwa vizuri,
inaeleweka, inafanyika kwa mujibu wa muda,
ugumu unaopelekea kutumia akili (challenge)
kwa mwanafunzi.
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA
UTAYARISHAJI WA MAJARIBIO (UPIMAJI)
1. Kujua lengo la jaribio (determining the purpose of
testing)
2. Kuandaa jadweli la upimaji (developing the test
specifications)
3. Kuchagua aina ya maswali (selecting appropriate item
types)
4. Kutayarisha maswali (preparing relevant test items)
1. Kujua lengo la jaribio (determining
the purpose of testing)
• Kwa nini unafanya jaribio, kwa madhumuni
gani? kwa ajili ya kutathmini uwezo wa lugha
kiujumla (proficiency), Kuwapeleka wanafunzi
katika kozi nyengine level nyengine, Kuangalia
maendeleo ya kujifunza katika kozi: Nini lengo
la jaribio?kitu gani mahsusi unataka kukijua?
uwezo gani wanao? unataka kupima nini
katika lugha? kusoma, kuandika, kuskiliza,
kusema?
Miongoni mwa malengo ya majaribio ni:
• Proficieny test (inapima uwezo wote wa lugha
kijumla-kusoma, kuandika, kusikiliza na kusema)
• Placement test (kumueka mwanafunzi katika
kozi,au kiwango chengine)
• Diagnostic test (kujua tatizo la kipengele
ambacho tayari kimeshaainishwa kuwa kina
mashaka,mf matamshi, utungaji,nk).
• Achievement test: inahusiana na masomo ya
darasani, kozi, au mtaala wote katika muda
maalum).
Kuandaa jadweli la upimaji (developing
the test specifications)
Bloom's Taxonomy
Cognitive Level
(maarifa) Knowledge
Uhakiki
3
Utungaji
5
Sarufi
2
ufahamu
2
12 (48%)
jumla
(matumizi) Application
Uchambuzi au
kuunganisha (Analysis
or Synthesis)
jumla
3
6 (24%)
3
8 (32%)
2
4 (16%)
2
3
7 (28%)
5 (20%)
8 (32%)
25 (maswali)
VIGAWANYO VYA UFAHAMU (Bloom
Taxonomy)
1. Kiwango chaMaarifa (knowlwdge)
• Mwanafunzi anatakiwa akumbuke taarifa,
matukio, data and places,
• maarifa ya mawazo makuu,
• Aina ya maswali mfano
• Orodhesha,taja. Toa maana,tambua onesha nk
2. Kiwango cha ufahamu
(comprehension level)
•
•
•
•
•
•
Understanding information
Grasp key meaning
Translate knowledge to a new context
Interpret, compare, contrast facts
Order, group, infer causes
Question cue:
– Summarize, interpret, contrast, associate,
distinguish, estimate, differentiate, discuss, extend,
why, etc.
3. Matumizi (application)
• Kutumia taarifa
• Kutumia mbinu, mawazo, nadharia katika
mazingira mapya
• kutatua matatizo kwa kutumia ujuzi na maarifa
aliyoyapata.
• Mfano wa maswali
• Tumia, onesha, malizia, fafanua, solve, tathmini,
boresha, rekebisha,,badilisha, fanya,,vumbua, hakiki,
tunga, andika, somesha, nk
4.Uchambuzi (Analysis Level)
•
•
•
•
•
•
Kutambua mifanano
Kuunganisha sehemu mbali mbali
Kutambua maana iliyojificha
Kutambua sehemu zinazounda maarifa fulani
Mfano wa maswali
chambua., tofautisha, tenganisha, panga,
unganisha, kagawa, chagua, chagua
5.Kuunganisha (Synthesis Level)
• Kutumia mawazo makongwe katika kuunganisha
mapya
• Jumuisha, tabiri kutokana na maarifa/ukweli
uliopewa
• Husisha maarifa na sehemu tofauti
• Jumuisha
• Mfano wa maswali
• Panga,buni,
• Tayarisha, vumbua, andika tena,buni/fikiria,Use
old ideas to create new ones
6.Tathmini (Evaluation Level)
• Compare and discriminate between ideas
• Judge and appreciate value of concepts, theories, and
principles
• Make choice based on reasoned argument
• Verify values of evidence
• Recognize subjectivity
• Question Cues:
– Assess, decide, rank, grade, test, measure, recommend, convince,
select, judge, discriminate, support, conclude, etc.
3. Kuchagua aina ya maswali (selecting
appropriate item types)
YAPO MASWALI YA AINA MBALI MBALI:
Maswali yanayohitaji majibu mafupi
1. Kuoanisha mawazo/sentensi
2. Kuchagua jawabu sahihi
3. Ndiyo/hapana
4. Maswali yanayohitaji majibu mafupi
5. kujaza mapengo. mf chagua neno sahihi kati ya kuwasilisha na kuwakilisha,
Egemea na tegemea
•
•
•
•
•
Mwalimu _____________somo lake vizuri
Mbunge wetu kesho _____________mswaada nyeti darasani
Wanafunzi waliadhibiwa kwa sababu _____________mabuku ya Kiswahili kw
amwalimu
Alikuwa hafanyi kazi yoyote ali______________ kipato cha baba yake
Huo mti ulio________________ una wadudu wengi ni hatari .
Inaend.
• Maswali ya kujieleza yanasaidia, kupima
uandishi, uchambuzi wa mambo,ufahamu wa
sarufi, msamiati, uwezo wa kuchanganua na
kujenga hoja,nk.
• Kutoa ufahamu Kwa ajili ya kusoma na kujibu
maswali na kufupisha
Inaend.
• (Discussion (fikiria mitihani ya form 4 na form
6 mbinu/njia/namna gani hasa za upimaji
zinatumika na nini kinapimwa).
Ref.
• Mbunda (1996)
• Brown,H.D. (2004) LANGUAGE ASSESSMENT
PRINCIPLES AND CLASSROOM PRACTICES.
Longman :USA.

similar documents